Ni kijana chipukizi anayefanya vizuri katika muziki wa HIP HOP anatoa ngoma zinazoelimisha jamii na zenye kusikilizika kwa kila lika bila kubagua hebu chukua dakika zako chache kusikiliza kibao alichoachia hivi kalibuni kinachoenda kwa jina la naami tutafika
No comments:
Post a Comment