Mzee Nestory Karani Malima alizaliwa tarehe 28/12/1924 na amefariki tarehe 11/08/2018 akiwa na miaka 94. marehemu mauti yalimkuta akiwa katika hosipitali ya wilaya ya tengeru mkoani arusha alipokuwa akipatiwa matibabu , Marehemu alikuwa akiuguzwa na binti yake Sabina Gidembu ambaye anakaa Arusha. katika maisha ya uhai wake marehemu ameacha alama kubwa sana katika kijiji cha usagara na vijiji vya jirani kwani katika historia marehemu ndiye aliyeanzisha ukatoriki katika kijiji cha usagara na kutafuta eneo la kujenga kanisa na hakuishia Saragana tu aliendelea kutoa mafundisho ya dini kwa vijiji vya jirani. Hakika mzee Nestory alikuwa taa kawa wengi na amewawashia wengi mwanga.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA ,
NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE ,
APUMZIKE KWA AMANI
AMINA.
SAFARI INAANZA KUTOKA HOSPITAL YA MOUNT MERU ARUSHA KWELEKEA SARAGANA MSOMA VIJIJINI NYUMBANI KWA MZEE NESTORY KARANI MALIMA
MWILI WA MAREHEMU UNAINGIZWA NDANI
SIKU INAYOFUATA TARATIBU ZA MAZISHI ZINAANZA
WAOMBOLEZAJI WAKIWA WANAPATA UTARATIBU MZIMA WA MAZISHI
SAFARI YA KWELEKEA KANISANI KWA IDADA YA KUMUOMBEA MZEE INAANZA
BAADA YA KUWASILI KANISANI NDUGU WANAPATA PICHA
MISA INAAZA NJE YA KANISA KISHA KUFUATIWA NA MAANDAMANO KUELEKEA NDANI YA KANISA
KIJANA MKUBWA WA MAREHEMU AKITOA NENO KWA WATU WOTE WALIOFIKA KWENYE MSIBA WA BABA YAO MPENDWA
SEHEMU YA WANAKWAYA WAKISIKILIZA NENO LA SHUKRANI KUTOKA KWA KIJANA MKUBWA WA MAREHEMU
WAOMBOLEZAJI WANAANZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU
PADRI ANAHITIMISHA SEHEMU YA PILI YA IBADA KANISANI
SAFARI KURUDI NYUMBANI KWA MAREHEMU ILIPOANDALIWA NYUMBA YAKE YA MILELE
SALAMU MBALIMBALI NA UTAMBULISHO KWA WAGENI WALIOFIKA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI
MWILI WA MAREHEMU UKISHUSHWA KWENYE MAKO YAKE YA MILELE
PADRI AKIENDELEA NA SEHEMU YA TATU YA IBADA KABURINI KUNYUNUZIA MAJI YA BARAKA KUASHIRIRIA UBATIZO WA MZEE NESTORY NA KURUSHA UDONGO KUASHIRIA UDONGONI TUTARUDI
NDUGU NA JAMAA WA KARIBU WAKIMRUSHIA MAREHEMU UDONGO
PADRI AKIWEKA SHADA LA MSALABA KWA NIABA YA KANISA
WATOTO WA MAREHEMU WAKIWEKA MASHADA KWENYE KABURI YA BABA YAO MPENDWA
VITUKUU WA MZEE NESTORY WAKIMUWEKEA MASHADA
WAJUKUU WAKIWASHA MISHUMAA KWENYE KABURI YA BABU YAO MPENDWA
PICHA YA PAMOJA YA NDUNGU KWENYE KABURI LA MZEE NESTORY IKIWA KAMA SEHEMU YA UKUMBUSHO
SAFARI YA KURUDI ARUSHA INAANZA
Pumzika kwa amani babu yetu mpendwa,
ReplyDelete