MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Majeneza yenye miili ya watu sita wa familia moja
waliofariki kwa ajali ya moto baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto eneo la
Kipunguni ‘A’ jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Februari 7, ambao walizikwa
katika makaburi ya Airwing Ukonga, Dar es Salaam leo.