Friday, September 16, 2016

VIDEO MPYA YA JAY MAIKO FT ROBIN RNB -NIFANIKIWE


kutana na kigongo kipya cha hatari cha msanii chipukizi namzungumzia new star Jay Maiko ambaye amekuja na ujio mpya kwa kuachia ngoma yake ya kwanza ya video inayoenda kwa jina la Nifanikiwe video imefanyika hapa hapa nyumbani na ina mazingira ya kinyumbani hebu nisiongee sana hebu jionee mwenyewe then tupia comment yako