Sunday, April 22, 2018

TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA OFISI ZETU. KARIBUNI SANA

MC ROMA SOLUTIONS:
Tunapatikana katika jiji la Arusha kata ya Sinoni mtaa wa Uswahilini mwisho wa hice. tunahusika katika kutoa huduma mbali mbali kama ifutavyo 
STATIONERY
photocopy, printing all size A3,A4, e.t.c, lamination, binding, scanning, internet service, brochure (vipeperushi), business card,  receipt book(vitabu vya risiti) ID card (vitamburisho), wedding card (kadi za harusi) na kadi zinginezo kwa aina yoyote ile. na huduma zinginezo za kisiteshenari