ASKOFU MKUU ISSACK AMANI ASKOFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA AKIWA KWENYE MISA YA SHEREHE YA VIJANA JIMBO LA ARUSHA KATIKA PAROKIA YA MT. VICENT PLLOT
VIJANA WAKIFUATILIA IBADA KWA UTULIVU KABISA
KWAYA MASTER KWA UMARIDADI KABISA AKIONGOZA KWAYA
ASKOFU AKISEMA NA VIJANA WA JIMBO LA ARUSHA
BAADA YA IBADA VIJANA WA PAROKIA MOJA WALIPOKUTANA
VIJANA WAKIINGIA UKUMBINI KWAAJIRI YA KUANZA SHEREHE
VIJANA WAKIWA UKUMBINI KWENYE SHEREHE
ASKOFU AKIWASILI UKUMBINI
SEHEMU YA VIJANA WALIOPATA NAFASI YA KUTUUMBWIZA
ASKOFU AKIPOKEA ZAWADI TOKA KWA VIJANA
ASKOFU AKIAGA KWELEKEA KWENYE MAJUKUMU MENGINE
MMOJA WA VIJANA WALIOTUMBUIZA VIZURI AKIPOKEA NENO KUTOKA KWA MC
VIJANA WAKISOMA SHAIRI
No comments:
Post a Comment