Leo katika pita pita zetu tumekumbana na kituko hiki
Abilia mmoja aliyekua akitoka igoma kuelekea mwanza mjini alijikuta akiazisha bonge la msala uliopeleka watu kujaa kama kawaida kujua nini kilichojiri ndipo na paparazi wetu akasogea kupata kujua.bibi mmoja aliyekuwa kwenye hice hiyo alijikuta akimsaidia dada ambaye pia naye alikua abiri baada ya kumuuona konda akichuka simu kwenye mkoba wa abiria huyo ndipo yule bibi alimkemea konda na kumnyang'anya hiyo simu ndipo huyo dada alipogutuka na kuaaza kujisachi na kubaiini kuwa kweli kaibiwa simu na sh.5000 ndipo alipoanzisha ugonvi ndani ya hice kupelekea dereva kusimamisha gari ugonvi ulizidi kuwa mkubwa baada ya konda kukataa kuwa hajahusika ndipo alipotokea asikari aliyekua doria na kumbana konda mpaka konda akalipa deni.
duuuuuuuuu abiria kuweni makini