Huyu ni mdada aliyekuwa na tamaa ya ngono kila alipokua akiweka makazi hakuweza kuvumilia kulinda penzi la mwenza wake na kumpelekea kila kituo kuwa na mpenzi na kuwadanganya kama anawapendaMAISHA SHULE NA MAPENZI
Mbaya zaidi ni pale alipopata mwanaume mwingine aliyempenda zaidi ambaye aliapa kuishi naye maisha ndipo akaamua kumfuatilia na kugundua maovu yake na kujua kama huyu dada ni tapeli wa mapenzi na baada ya kunjuza juu ya mwenendo wake huyu dada uamuz aliouchukua ni kumuuacha mwanaume huyo na kumfanya aumie na kwasasa kaka wa watu anajuta kumfuatilia huyu mdada
na wewe kaka mwenye tabia kama hii kuwa makini isije ikakughalimu
No comments:
Post a Comment