TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
SOFTHARDI TECHOLOGY COMPANY
WANAPENDA
KUWATANGAZIA NAFASI ZA KAZI WATAZANIA WOTE KATIKA NAFASI YA MAKERTING (ufanyaji
masoko)
SIFA ZA MUOMBAJI
·
AWE AMEHITIMU WALAU KUANZIA KIDATO CHA NNE NA
KWENDELEA
·
AWE ANAWEZA KUTUMIA COMPUTER VYEMA
·
AWE TAYARI KUFANYA KAZI NDANI NA NJE MKOA
KWA WALE WALIOHITIMU MAFUNZO YA MAKERTING AU TEHAMA (IT) NA WANAJUA
KUTUMIA COMPUTER WATAPATA VIPAUMBELE
USAILI UTAFANYIKA MIKOANI KWA MIKOA YOTE TANZANIA BAADA YA MAOMBI
KUTUMWA ILA KWA WAKAZI WA ARUSHA ITAKUA NI TAREHE 27/04/2015 MSOMA ITAKUWA
TARIME TAREHE 01/05/2015 MWANZA TAREHE 03/05/2015 SEHEMU MTAFAHAMISHWA KWA WALE
MTAKAO KUWA MMETUMA MAOMBI MSISAHAU KUWEKA NAMBA ZA SIMU AMBAZO MNAPATIKANA
USAILI HAUTAKUWA NA GHARAMA YOYOTE ILE ZAIDI YA SH.2000 YA UKUMBI CHAKULA NA
MALADHI KAMA YATAHITAJIKA NI JUU YAKO MWENYEWE
KWA MAWASILIANO ZAIDI 0765656665, 0789999095
0656665622
No comments:
Post a Comment