Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania
Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka
Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa
Nana,video imefanywa na
GodFather
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa
Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako.
No comments:
Post a Comment