Monday, October 12, 2015

MGOMBEA URAISI KUPITIA TIKETI YA CHADEMA ANYEUNGWA MKONO NA VYAMA VINAVYOUNDA UMOJA WA KATIBA (UKAWA) EDWARD NGOYAI LOWASSA AWAOMBEA WABUNGE NA MADIWANI WA CCM KURA



Akihutubia mamia na maelfu ya wakazi wa sirari wilayani tarime waliojitokeza kupokea mgombea huyo wa uraisi kupitia vyama vinavyounda ukawa ndg; edward ngoyai lowassa amekiombea chama cha mapinduzi ccm kura kwa kuwambia wananchi wa wilaya ya tarime kuwa wenzake wameongea mengi yeye anaomba wampe kura na wagombea ubunge wa ccm. hali hyo imezua tafaruki kubwa katika wakazi wa wilaya ya tarime kiasi kwamba viongozi wa chadema na wanachama wake wamejikuta wakimlaumu kiongozi huyo kwa kusema amekuja kuwavurugia kura walizokua nazo (amekuja kubomoa cyo kujenga) lakini pia wakazi wa tarime mjini wengi walijitokeza kumsikiliza kiongozi huyo kwa wingi lakini alipowasili wakampokea kwwashangwe ila kila aliyemuona alikata matumaini na kusemahataipoteza kura yake

No comments:

Post a Comment