Monday, May 30, 2016

ANGALIA MZIGO MPYA ULIFIKA OFISINI SASA HIVI NA UTAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO WEKA ODA TU.

MC ROMA COMPANY MZIGO MPYA WA MAANA

 wanakuletea bidhaa mpya katika kuhakikisha tunakuboresha na kukupendezesha wewe mteja wetu unaweza ukajichagulia mzigo unaotaka na ukawasiliana na sisi ukakufikia mahali popote pale utakapotaka hapa nchini pia tunapendezesha maharusi na kumbi za sherehe kama unavyoona hapo chini kwenye picha zilizoko hapo chini na pia tuna wataalamu wa kutengenenza keki kwa ubora sana tunahakikisha kuwa shughuli yako inaenda poa hapa pia utapata MC wakali sana wanaoweza kupendezesha au kuserehesha shughuli yako kwa ubora mkubwa sana wasiliana nasi pia kwa njia ya whatsapp kwenye group letu ambapo utapata kupata taarifa za mzigo mpya kila siku kwa no +255765656665