Monday, May 30, 2016

ANGALIA MZIGO MPYA ULIFIKA OFISINI SASA HIVI NA UTAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO WEKA ODA TU.

MC ROMA COMPANY MZIGO MPYA WA MAANA

 wanakuletea bidhaa mpya katika kuhakikisha tunakuboresha na kukupendezesha wewe mteja wetu unaweza ukajichagulia mzigo unaotaka na ukawasiliana na sisi ukakufikia mahali popote pale utakapotaka hapa nchini pia tunapendezesha maharusi na kumbi za sherehe kama unavyoona hapo chini kwenye picha zilizoko hapo chini na pia tuna wataalamu wa kutengenenza keki kwa ubora sana tunahakikisha kuwa shughuli yako inaenda poa hapa pia utapata MC wakali sana wanaoweza kupendezesha au kuserehesha shughuli yako kwa ubora mkubwa sana wasiliana nasi pia kwa njia ya whatsapp kwenye group letu ambapo utapata kupata taarifa za mzigo mpya kila siku kwa no +255765656665
RAHA JIPE MWENYEWE USIPOJING'ALISHA MWENYEWE NANI ATAKUNG'ALISHA 
















 PATA KEKI BORA KABISA KATIKA SHUGHULI YAKO NA IWE YA KIPEKEE













 BILA KUSAHAU KUPAMBA UKUMBI WAKO PIA HEBU CHEKI UNAVYOWEZA KUPENDEZESHA UKUMBI WAKATI WA SHUGHULI YAKO MPENDWA















+255765656665, 0789999095

No comments:

Post a Comment