Thursday, February 16, 2017
MSTAHIKI MEA WAJIJI LAARUSHA AAHIDI KUTATUA BAADHI YA CHANGAMOTO ZILIZOPO KATIKA SHULE YA ESA ALIPOKUA MGENI RASIMI KATIKA MAHAFALI YA SABA YA KUWAAGA WATIMU WA DARASA LA SABA
mstahiki mea ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya mea bora ya mwaka 2016 tanzania leo tarehe 30/09/2016 akionge na wazazi, wanafunzi, pamoja na walimu alipokua kama mgeni rasimi ameahidi kutoa ushilikiano na uongozi wa shule hiyo kuhakikisha wanatatua tatizo la maji lililopo shuleni hapo ifikapo tarehe 20/10/2016 ikiwa ni pamoja na kusaidia katika ukarabati wa barabara ya kuelekea shuleni hapo pia amewaasa wazazi kuiamini shule ya esa kwa elimu bora inayoto kwani mara yingi imekua top 5 ya shule zinazofanya vizuri jijini arusha na kuahidi kuhamishia watoto wake hapo shuleni pia amewaasa wazazi kutoa ushilikiano kwa kulipa ada kwa wakati na kuepuka usumbufu kwa mtoto kukosa masomo kwani ni haki yake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment