Moja katika siku ambazo zimeweka historia katika shule ya GHATI MEMORIAL SCHOOL ilikua ni leo pale ambapo wafanya kazi wote walitolewa OUT na bosi wao na kutembelea sehemu mbali mbali za makumbusho jijini Arusha na baada ya hato kupata chakura kwa pamoja ambapo hapo sasa ndipo pilikuwa pa aina yake.Baada ya kutmbele makumbusho yote walipata nafasi ya kwenda katika hoteli moja ambapo walishushwa na basi na prado na kuingia wote katika hoteli moja watu zaidi ya stini kitu ambacho kilipelekea watu wote waliokuemo kuinuka na kuwapisha memeorial staff na kila aliyekua akiingia alishindwa kuhudumiwa na kuondoka maajabu zaidi ni pale walipotumia chakula chote kilichokuepo katika hoteli hyo kitu kilichopelekea mmiliki wa hoteli hiyo kufunga kwa muda kwa ajiri ya maandalizi ya chakula kingine
TAYARI KILA MMOJA KWENYE NAFASI YAKE AKISUBILI HUDUMA
MTOA HUDUMA AKIHESABU WATU KULINGANISHA NA HUDUMA
TAYARI WATU WAKIWA WAMEMALIZA CHAKULA
MKURUGENZI AKITOA NENO LA SHUKURANI BAADA YA CHAKURA
No comments:
Post a Comment