NASASI ZA KAZI
TANGAZO ZA KAZI
UONGOZI WA SHULE YA MSINGI YA GHATI
MEMORIAL, UNAPENDA KUKUTANGAZIA / KUWATANGAZIA NAFASI ZA KAZI KATIKA VITENGO VIFUATAVYO
- SECRETARY
- TEACHER'S
- DRIVER
VIGEZO
1. UWE
NA UWEZO WA KUONGEA NA KUANDIKA
KINGEREZA
2. UWE NA VYETI HALALI .KAMA UNA KIAMBATANISHO CHOCHOTE AMBACHO UNAHISI NI MUHIMU UNAWEZA KUAMBATANISHA
MAOMBI YOTE YATUMWE kabla ya tarehe 25/12/2014 KUPITIA:
USAHILI UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI
TAREHE 27/12/2014 KATIKA MAENEO YA SHULENI KWA WALE WATAKAOITWA
No comments:
Post a Comment