Mkurungenzi wa shule ya GHATI MEMORIAL SCHOOL ameamua kuwafanyia suprize wafanyakazi wake wote kwa kuamua kuwatoa wafanyakazi wake wote OUT kwa kuwapeleka kutembele moja kati ya jumba la makumbusho lililopo Kisongo Arusha maarufu kama SNAKE PARK ambapo wamepata nafasi ya ya kujifunza kwa kuuliza maswali na kujibiwa na wakatimbelea aina ya wanyama wote wanaopatikana hapo lakini pia baada ya kujifunza kwa muda mrefu walipata nafasi ya kumzika na kupata chakula cha pamoja.baada ya hapo tulipata nafasi ya kuwauliza maswali baadhi ya wafanyakazi kuhusu safari hiyo kila aliyepaza maiki katika kipaza sauti chetu alisema kuwa wamefurahishwa na kitendo alichowafanyia bosi wao kwa kuamua kuwakusanya wote katika furaha ameonesha ni kiasi ghani anavyotambua uwepo wao na umuhimu wao katika shughuli zake
GHATI MEMORIAL STAFF WAKIWA NDANI YA BASI LA SHULE
WKIWA WAMEFIKA ENEO LA TUKIO TAYARI KUANZA KUJIFUNZA
WAKIWA MAFUNZO KWA KUPATA ELIMU KUTOKA WA WAHUSIKA WA MAKUMBUSHO HAYO
WALIPOPATA NAFASI YA KUPIGA PICHA
NAFASI YA PICHA MBALI MBALI
WAKIIGA MAVAZI YA TAMADUNI ZA KABIRA KUBWA
LINALOPATIKANA MAENEO HAYO
MFANO WA VITANDA VYA KABIRA LA KIMASAI
BINTI WA KIMASAI AKIFANYIWA TOHARA
KWENYE BASI TAYARI KURUDI NYUMBANI
No comments:
Post a Comment