Sunday, January 11, 2015

RAIS UHURU KENYATTA KUWACHANGANYA WALEMBO WA AFRICA AKIWEMO UWOYA KUTOKA TANZANIA NA DOREEN KOMUHANGI KUTOKA INCHIN UGANDA

RAIS UHURU KENYATTA KUWACHANGANYA WALEMBO WA AFRICA AKIWEMO UWOYA KUTOKA TANZANIA NA DOREEN KOMUHANGI KUTOKA INCHIN UGANDA

Hapa na Pale:Uwoya Amzimia Rais Uhuru Kenyatta!!!

DIAMOND KUFANYA COLABO NA P-SQUARE WA NAGERIA

MWACHENI Diamond aitwe Diamond! Hiyo kauli pekee unayoweza kuisema kufuatia wakali wa muziki wa R&B kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye ‘P-Square’ kuukubali uwezo wa kimuziki wa bwa’mdogo kutoka Tandale, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijuma Wikienda linakupa mchapo hatua kwa hatua.