RAIS UHURU KENYATTA KUWACHANGANYA WALEMBO WA AFRICA AKIWEMO UWOYA KUTOKA TANZANIA NA DOREEN KOMUHANGI KUTOKA INCHIN UGANDA
<span 1.6em;"="">Mrembo na mwigizaji anaewachanganya wengi kwa umbo lake matata, Irene Uwoya leo mtandaoni amewake wazi hisia zake za kumzimia rais wa sasa wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kwa kutupia picha ya rais huyo akiwa amevalia nguo ya kijeshi na kuandika “I jus lov him............”.
Kitendo hiki kilichukuliwa kwa mtazamo tofauti na mashabiki wake, wengine wakisema kuwa anampenda kwamaana ya upendo wa kawaida huku wengine wakisema hii ni ule upendo wa kimapenzi.
Haya wale mnaojua kingereza hebu mtusaidie hapo!!!
Lakini hii sio mara ya kwanza kwa rais huyu kupendwa na wadada maarufu kama Uwoya, kwani mwaka jana mrembo na mtangazaji wa television kituo cha NBS cha nchini Uganda, Doreen Komuhangi nae alifunguka na kuandika maneno haya kwenye mtandao wa Twitter…“The way that guy does his things...oh my God, am in love. He is a true Gentleman…,” akielezea kwa jinsi anavyomkubali rais huyu.
No comments:
Post a Comment