Tukio hilo la kihistori katika nyumba ya mfanyabiashara huyo maarufu(MAZAGAZAGA) limetokea jana majira ya kuanzia saa sita mchana hadi saa moja jioni.tukio hilo ambalo lilitawaliwa na furaha ya aina yake na ambalo limeleta taswira mpya katika nyumba hiyo na kuifanya nyumba hiyo iendelee kuwa na moyo wa namna hiyo liliendeshwa na BW josephati mseti ambaye alipeleka shukrani zake za dhati kwa muheshimiwa mazagazaga kwa kutambua umuhimu wa elimu na kuwa mtumwa katika kujitoa kusaidia wale wanaohitaji musaada katika swara la elimu. Josephati ni miongoni mwa watu ambao wamepata msaada huo wa kielimu kupitia kwa mazagazaga jana ametoa shukrani hizo ambazo ziliambatana na maneno mazito ambayo hatuwezi kuyaandika hapa. lakini pia kwa upande wake mazagazaga alikuwa na yakusema ikiwa ni pamoja na kuwataka vijana kujituma pale wanapopata nafasi kama hyo kutoka kwa watu mbalimbali wenye nia ya kusaidia na waweze kuiga mfano wa josephat.
MHESHIMIWA MAZAGAZAGA AKIPOKEA ZAWADI MBALIMBALI KUTOKA KWA DR.JOSEPHATI
BAADHI YA MARAFIKI WA DR. JOSEPHATI WAKIMSINDIKIZA KATIKA KUTOA ZAWADI ZAKE
WAGENI WALIOHUDHULIA TUKIO HILO WAKIPATA VINYWAJI
MRS.MAZAGAZAGA NAYE AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA DR. JOSEPHAT
No comments:
Post a Comment