Saturday, May 30, 2015
Friday, May 29, 2015
Ni Diamond Platnumz tena kwenye Headlines time hii kamshirikisha Mr. Flavour…
Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako.
Subscribe to:
Posts (Atom)