Sunday, May 20, 2018

UZINDUZI WA ALBUM YA KAMANDA YA YESU KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA PAROKIA YA MT. AMBROSE KIBUKA SINONI-ARUSHA

leo tarehe 20/05/2018 ilikuwa ni siku ya kipekee kwa wana kwaya wa kwaya ya MT.ANDREA KAGWA wa parokia ya MT.AMBROSE KIBUKA - SINON na wanaporokia wote kwa ujumla. kwani leo kwaya ya MT.ANDREA KAGWA wamefanyanya uzinduzi wa album yao ya DVD inayokwenda kwa jina la KAMANDA WA YESU. Album hiyo inajumla ya nyimbo kumi ambazo ni:- Kamanda wa Yesu, Natembea na Bwana Yesu, Mitego ya Shetani, Makuu ya Mungu, Upendo, Zaburi, Ee Bwana Sikia na  Inuka Nenda, Tumbo la Nchi, na Misa Takatifu. jipatie nakala yako kwani sasa ipo sokoni unaweza kuwasiliana na wasambazani kwa
 Namba  +255 785 889 505, +255 768 581 234 na +255 719 015 174 au unaweza kuwasiliana nasi kwaNo +255 745-68 11 57
FATHER RWAICHI MLEZI WA KWAYA MKONO WA KULIA AKIWA ANASHUHUDIA ALIYEKUWA MGENI RASIMI AKISOMA KILICHOPATIKANA KWENYE UZINDUZI,


 WANAKWAYA KWA KWAYA JILANI KUTOKA DHEHEBU LA K.K.KT WALIPOPATA NAFASI YA KUIMBA NDANI YA KANISA KATORIKI

 MGENI RASIMI AKIAMBATANA NA MKE WAKE WAKIWA WANAKARIBISHWA NA FATHER MLEZI WA KWAYA
 MWENYEKITI WA KWAYA AKIONGOZANA NA WAGENI KWENYE KUSHIRIKI SUPU
 KATIBU WA KWAYA KATIKA TABASAMU LAKE KWENYE FOLENI YA KUPATA SUPU
 MMOJA WA WANAKWAYA WA K.K.K.T NAYE KATIKA UBORA WAKE
 KATIBU MSAIDIZI  WA PAROKIA AKIWA MEZANI NA WAGENI
 MWENYEKITI WA WAFADHILI WA KWAYA YA MT ANDREA KAGWA AKIWA MEZANI NA MAPADRI
 PADRI MLEZI WA KWAYA AKIWA MEZANI NA MGENI RASIMI NA MKE WAKE
 MMOJA WA WAGENI WAALIKWA AKIWA AMEKAA KWA UTULIVU AKISUBILI MAELEKEZO YA MC ILI NAYE AKAPATE NAYE KILICHOANDALIWA









WANAKWYA WA KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA KUZINDUA ALBUM YAO
 MWINJILISTI WA KANIKA LA K.K.K.T AKISHILIKI NAYE KUPATA KIFUNGUA KINYWA


 BAADHI YA WAGENI NA WAWAKILISHI WA JUMUIYA MBALI MBALI NAO WAKISHILIKI KARAMU ILIYOANDALIWA NA KWAYA
 MGENI RASIMI AKISALIMIANA NA MWINJILISTI
 MWENYEKITI WA WAFADHILI WA KWAYA AKISEMA NENO KWA WAGENI
 PADRI AKITOA NENO LA SHUKRANI KWA WAGENI NA KUFUNGA H


 MGENI RASIMI AKISEMA NENO NA KUTANGAZA KIASI KILICHOPATIKANA KWENYE UZINDUZI

 MWENYEKITI WA PAROKIA AKITETA JAMBO NA KIONGOZI WA KWAYA YA MT. YUDA THADEI - MURIETI
 MKE WA MGENI RASIMI AKIWA NA FURAHA BAADA YA KUKUTANA NA WANAPAROKIA ANAOWAJUA
MWENYEKITI WA PAROKIA AKIWA ANATETA JAMBO NA MWINJILISITI PAMOJA  NA WANAKWAYA WAKE

2 comments:

  1. Kazi njema mno, inaweka kumbukumbu kwa siku za usoni,
    Boresha kidogo font colour ili isomeke bila kuua macho.

    ReplyDelete