BONYEZA HAPA KUPATA VIONJO VYA ALBUM YA KAMADA WA YESU
Kwaya
ya MT.ANDREA KAGWA wa parokia ya MT.AMBROSE KIBUKA - SINON wamekuandalia na kukuletea album yao ya DVD inayokwenda kwa jina la
KAMANDA WA YESU. Album hiyo inajumla ya nyimbo kumi ambazo ni:- Kamanda
wa Yesu, Natembea na Bwana Yesu, Mitego ya Shetani, Makuu ya Mungu,
Upendo, Zaburi, Ee Bwana Sikia na Inuka Nenda, Tumbo la Nchi, na Misa
Takatifu. jipatie nakala yako kwani sasa ipo sokoni unaweza kuwasiliana
na wasambazani kwa
No comments:
Post a Comment