WATU MBALI MBALI WAKIWASILI ENEO LA KANISA KWAAJIRI YA KUSHIRIKI IBADA YA MISA YA KUMUAGA LEONIA
JOSEPH MTALO MUME WA MAREHEMU AKITENGENEZEA MAUA KATIKA JENEZA LA MPENDWA WAKE
MWENYEKITI WA PAROKIA YA MT. AMBROSI KIBUKA - SINONI JAMES MBWAMBO AKITIA MOYO JOSEPH MTALO
HAPA MWENYEKITI WA PAROKIA AKIWA HAAMINI KAMA AMEMPOTEZA MSHIRIKA MWENZAKE
JENEZA ULIMO MWILI WA MAREHEMU NA PICHA YA MAREHEMU
WAOMBOLEZAJI WALIOFIKA KUMSINDIKIZA LEONIA KATIKA MAKO YAKE YA KUDUMU
MA-SISTER WANAOHUDUMU KATIKA PAROKIA YA MT. AMBROS KIBUKA SINONI WAKIWA SEHEMU YA WAOMBOLEZAJIWANAKWAYA WA PAROKIA YA KISHIMUNDU WAKIWA SEHEMU YA IDADA
PAROKO HENRY SAWELO WA PAROKOA YA MT. AMBOSI KIBUKA SINONI AKIWA NA PAROKO WA KISHIMUDU WAKIWA KATIKA NYUMBA YA KUDUMU YA MAREHEMU WAKIENDELEA NA IBADA
MWILI WA MAREHEMU UKISHUSHWA KABURINI
JOSEPH MTALO MME WA MAREHEMU AKIMTUPIA UDONGO KIPENZI CHAKE
MA-SISTER WAKIANGA KWA KURUSHIA UDONGO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MT. KAROLI LWANGA AKIMUAGA MUNAJUMUIYA MWENZAKE KWA KUTUPIA UDONGO
MAKAMO MWENYEKITI NA MJUMBE WA HAKI NA AMANI MT. KAROLI LWANGA WAKIMUAGA MUNAJUMUIYA MWENZAO KWA KUTUPIA UDONGO
PAROKO HENRY SAWELO AKIWEKA SHADA LA MSALABA KWENYE KABURI LA MUUMINI WAKE
MA-SISTER WAKIWEKA SHADA
MUME WA MAREHEMU AKIWEKA SHADA KWENYE KABURI LA MPENDWA WAKE KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA
WANAJUMUIYA WA JUMUIYA YA MT.KAROLI LWANGA WALIPOKUWA WAKIWASHA MISHUMAA KWENYE KABULI LA MWANAJUMUIYA MWENZAO AMBAYE TENA HAWATAKUTANA NAYE KWENYE SALA ZA ASUBUHI WAKIWA NA MASIKITIKO MAKUBWA SANA
BAADHI YA WAOMBOLEZAJI NA WAPENDWA WA KARIBU NA MAREHEMU NAO WAKIWEKA MASHADA NA KUPIGA PICHA YA KUMBU KUMBU KWENYE KABULI LA MPENDWA WAO
WAOMBOLEZAJI WAKIONDOKA ENEO LA MAKABULI NA TAYARI KWA KUANZA SAFARI YA KURUDI MAKWAO
No comments:
Post a Comment