Wednesday, June 20, 2018

SAFARI YA MWISHO YA MZEE HONORATH MASSAWE KATIKA KIJIJI CHA MACHAME ALEN - ROMBO

SAFARI YA MWISHO YA MZEE HONORATH MASSAWE 
 BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WALIOTOKEA ARUSHA WAKIWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU HONORATH MASSAWE
 WAKITOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA
 WAOMBOLEZAJI WAKIWA SEHEMU YA IBADA WAKISIKILIZA MAHUBIRI YALIYOTOLEWA NA FATHER FESTO TINGO
 Father Festo Tingo katika mahubiri yake aliwasisitiza wakristu kujitakatifuza kwanza kabla ya kuwaombea marehemu, kwa kuwakumbusha kuwa mzambi hawezi kumuombea mtu ''unakuta mtu ana zambi tena nyingi kweli wengine wazinzi, wengine wametoka makwao hata hawaongei na wenza wao unakuja kumuombe marehemu yani wewe mwenyewe uko motoni unamuombe marehemu sasa naye aje huko motoni uliko au'' hayo yalikuwa maneno ya padre festo
 MSEMAJI WA FAMILIYA AKISOMA WASIFU WA MAREHEMU
 BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKITOA SALAMU ZAO ZA LAMBI LAMBI





 SALA YA MWISHO KABLA YA KWELEKUA KABRINI IKIENDESHWA NA FATHER HENRY SAWERO TOKA JIMBO KUU LA ARUSHA PAROKIA YA MT. AMBROSE KIBUKA- SINONI. PAROKIA ANAYOSALI ELIMINA HONORATH MASWAE MTOTO WA MAREHEMU
 SAFARI YA KUPELEKA MWILI WA MAREHEMU KWENYE NYUMBA YAKE YA KUDUMU

 MWILI WA MAREHEMU UKISHUSHWA KABURINI
 FATHER AKINYUNYUZIA MAJI YA BARAKA KWENYE KABURI
 FATHER AKIENDESHA SEHEMU YA MISA YA MAZIKO KURUSHIA MAREHEMU UDONGO
 ELIMINA HONORATH MASSAWE AKIMURUSHIA BABA YAKE KIPENZI UDONGO
 VIJANA WANARUDISHIA UDONGO KABURINI
 PADRE AKISIMIKA MSALABA KATIKA KABURI  LA MAREHEMU
FATHER HENRY SAWEROAKIWEKA SHADA LA MSALABA
 MASISTER WAKIWEKA SHADA
 BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWEKA MASHADA 
 WATOTO WA MAREHEMU WAKIWEKA MASHADA KWENYE KABURI LA BABA YAO 


 WAOMBOLEZAJI NA BAADHI YA NDUGU WAKIWEKA MASHADA





 WAOMBOLEZAJI MBALI MBALI WAKISHILIKI MAPAJI YALIYOANDALIWA NA FAMILIYA YA MAREHEMU HONORATH MASSAWE

No comments:

Post a Comment