ENDELEA KUTIZAMA MATUKIO YOTE YALIYOJILI KATIKA USIKU WA BILL & IRENE
Usiku wa tarehe 09/06/2018 ulikuwa ni wa kihistoria kati ya wawili waliopendana na kuchagua kujenga familiya pamoja, namzungumzia Bill Basil na mke wake Irene ambao kwa usiku wa tarehe hiyo waliweza kuwakusanya watu wengi kusherekea siku hiyo mhimu na ya kihistoria kwao kwani kama tunavyojua mwanadamu ana sherehe kuu tatu na muhimu katika maisha yake ikiwa ya kwanza ni ile ya kuzaliwa ya pili kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kifo ambayo husherekewa bila mhusika. lakini kwa usiku wa tarehe 09/06/2018 ulikuwa usiku wa furaha sana kwa MR & MRS Bill hebu nisiseme sana wewe shuhudia mwenyewe.
MR & MRS BILL KATIKA CHEKO
WAPENDANAO WAWILI WALIPOKUWA WAKISHEREKEA USIKU WA MR & MRS BILLMMOJA WA WAGENI WAALIKWA AKIPATA HUDUMA YA CHAKULA
PALE WANAPOKUTANA BILA KUJUA KAMA WATAKUNANA LAZIMA WAULIZANE
BAADHI YA WANAKWAYA WA KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA WAKISHEREKEAUSIKU MR & MRS BILL
WANAKWAYA WA KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA WAKISHEREKEA WAKIPELEKA ZAWADI YAO KWA MWANAKWAYA MWENZIO BILL BASIL
MARA PAPU. DJ KAZIMA MZIKI WAKATI WATU BADO WANA MZUKA WAKUCHEZA LAZIMA WAULIZE KULIKONI
PICHA ZA PAMOJA KATI YA WANAKWAYA WA KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA NA
MR & MRS BILL BASIL MARANDU
MMOJA WA WANAKAMATI AKIWA KATIKA MAJUKUMU YAKE YA KUHAKIKISHA SHEREHE INAKWENDA SAWA
MASHEMEJI WAKIWA WANATETA JAMBO WAKAKUTANISHWA NA KAMERA YETU
MWL. WA KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA AKIWA MAKINI ANAFUATILIA NA MR & MRS BILL BASIL MARANDUAMBAYE NI MWANAKWAYA WAKE
WAGENI WAALIKWA WAKIFUATILIA NA KUHAKIKISHA HAWAPITWI NA TUKIO LOLOTE KATIKA USIKU WA MR & MRS BILL BASIL MARANDU
MC SILAYO MSEREHESHAJI WA USIKU MR & MRS BILL BASIL MARANDU
WAGENI WAALIKWA WAKISAKATA LUMBA NA WAKIWA NA FURAHA
No comments:
Post a Comment