Sunday, May 18, 2014

Bwana Ameto Na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe, Huyu Ndiye Msani Wa Bongo Movies Aliyefariki Dunia Siku Ya Leo

Bwana Ameto Na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe, Huyu Ndiye Msani Wa Bongo Movies Aliyefariki Dunia Siku Ya Leo


http://api.ning.com/files/ul6fByF3mQflPAkDymTC6l7oSIe5Z-7ttjPkRqMZ5Ap7e*eCA8BS7VPT0qilab3hk2YvlMI2178ZBXtAi7ag1PSLIQkl*wIU/Kuambiana1.jpgAdam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Marehemu Kuambiana katika muonekano wake wa siku zake za mwisho za uhai wake
...katika pozi na msanii Irene Uwoya
...(kushoto) akiwa na wasanii wenzake JB (kutoka kulia), Tino na Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi
BAADHI YA KAZI ALIZOCHEZA/KUONGOZA MAREHEMU KUAMBIANA:
R.I.P Adamu Kuambia, we gonna Miss you!
WADAU WA BLOG HII TUNAOMBA USHILIKIANO WENU KWA KUITEMBELEA MALA KWA MALA BLOG HII

No comments:

Post a Comment