Mpoki ameifanya shoo ya tuzo za kilimanjaro music award 2014 kuonekana mbonge la shoo kiukweli tukiacha unafiki mpoki ni mc anayefaa kabisa anafanya kazi yake kwa kujiamin maana shughuli yoyote ile yni watu na watu wanataka furaha mpoki amefanya watu kupata burudani.kiukweli shoo ya jana ni mpoki music award na cyo kiloimanjaro music kutokana alivyoifanya kuwa babu kubwa big up mpok
No comments:
Post a Comment