Sunday, May 18, 2014

AUNT EZEKIEL AFANYA KUFULU ILALA ATUNZA MILIONI MOJA NA USHEKHE KWENYE SHUGHULI YA SHOGA YAKE ZAWADI KIBIRITI

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti 

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekielwa pili kushoto na wapambe wake wakienderea kutunza

Baadhi ya wake wa wanamziki wa bendi ya msondo ngoma wakishudia shughuli hiyo 
Lucy bandawe nae alikuwepo

watu waliodhulia
wake wa wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakiwa katika picha ya pamoja 
lucy bandawe
waalikwa
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza

No comments:

Post a Comment