Namba +255 785 889 505, +255 768 581 234 na +255 719 015 174 au unaweza kuwasiliana nasi kwaNo +255 745-68 11 57
Monday, May 21, 2018
BONYEZA HAPA KUPATA VIONJO VYA ALBUM YA KAMADA WA YESU
Sunday, May 20, 2018
UZINDUZI WA ALBUM YA KAMANDA YA YESU KWAYA YA MT. ANDREA KAGWA PAROKIA YA MT. AMBROSE KIBUKA SINONI-ARUSHA
leo tarehe 20/05/2018 ilikuwa ni siku ya kipekee kwa wana kwaya wa kwaya
ya MT.ANDREA KAGWA wa parokia ya MT.AMBROSE KIBUKA - SINON na
wanaporokia wote kwa ujumla. kwani leo kwaya ya MT.ANDREA KAGWA
wamefanyanya uzinduzi wa album yao ya DVD inayokwenda kwa jina la
KAMANDA WA YESU. Album hiyo inajumla ya nyimbo kumi ambazo ni:- Kamanda
wa Yesu, Natembea na Bwana Yesu, Mitego ya Shetani, Makuu ya Mungu,
Upendo, Zaburi, Ee Bwana Sikia na Inuka Nenda, Tumbo la Nchi, na Misa
Takatifu. jipatie nakala yako kwani sasa ipo sokoni unaweza kuwasiliana
na wasambazani kwa
FATHER RWAICHI MLEZI WA KWAYA MKONO WA KULIA AKIWA ANASHUHUDIA ALIYEKUWA MGENI RASIMI AKISOMA KILICHOPATIKANA KWENYE UZINDUZI,
Namba +255 785 889 505, +255 768 581 234 na +255 719 015 174 au unaweza kuwasiliana nasi kwaNo +255 745-68 11 57
Saturday, May 19, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)