Saturday, June 30, 2018

WANAKWAYA WACHAFUKWA WAFANYA VITUKO KWENYE SENDOFF YA MWENYEKITI WA PAROKI

TUNAKUKUMBUSHA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI KUTUPA SAPORT YAKO MPENDWA TUNAKUOMBA SANA TENA SANA
Tunakuomba usisahau ku subscribe channel yetu kwa kubonyeza hicho kitufe chekundu hapo chini ya video ili uwe unapata video zetu kwa ku subscribe utakuwa umetoa saport kubwa sana kwa mc roma tunakuomba sana. lakini pia kama una tukio lolote unataka lilushwe na blog yetu unaweza kuwasiliana nasisi kwa namba hizi +255 745 68 11 57 Email mcroma4@gmail.com

Wednesday, June 20, 2018

SAFARI YA MWISHO YA MZEE HONORATH MASSAWE KATIKA KIJIJI CHA MACHAME ALEN - ROMBO

SAFARI YA MWISHO YA MZEE HONORATH MASSAWE 

MUNGU HATATOA HUKUMU SIKU YA MWISHO.PADRE FESTO TINGO WA PROKIA YA KENI ROMBO JIMBO LA MOSHI

KULIA MWENYE MIC NI PADRE FESTO TINGO WA PAROKIA YA KENI ROMBO NA KUSHOTO NI PADRE HENRY  SAWERO PAROKO WA PAROKIA YA MT. AMBROSE KIBUKA - SINONI JIMBO KUU KATORIKI LA ARUSHA

Padre FESTO TINGO Wa parokia ya KENI ROMBO JIMBO LA MOSHI   alipokuwa katika maazimisho ya misa takatifu ya mazishi ya mzee HONORATH MASSAWE katika kijiji cha MACHAME ALEN ROMBO akitoa tafakari ya ne la Mungu liliosomwa katika ibada hiyo aliwaasa wakrisu kwa mambo mengi sana. kama tulivyokuandalia hapo chini

Sunday, June 10, 2018

BI HARUSI ALIYECHEKA SIKU YA HARUSI YAKE MPAKA KILA MTU IKABIDI ACHEKE NA KAFURAHI

ENDELEA KUTIZAMA MATUKIO YOTE YALIYOJILI KATIKA USIKU WA BILL & IRENE
Usiku wa tarehe 09/06/2018 ulikuwa ni wa kihistoria kati ya wawili waliopendana na kuchagua kujenga familiya pamoja, namzungumzia Bill Basil na mke wake Irene ambao kwa usiku wa tarehe hiyo waliweza kuwakusanya watu wengi kusherekea siku hiyo mhimu na ya kihistoria kwao kwani kama tunavyojua mwanadamu ana sherehe kuu tatu na muhimu katika maisha yake ikiwa ya kwanza ni ile ya kuzaliwa ya pili kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kifo ambayo husherekewa bila mhusika. lakini kwa usiku wa tarehe 09/06/2018 ulikuwa usiku wa furaha sana kwa MR & MRS Bill hebu nisiseme sana wewe shuhudia mwenyewe.