Wednesday, October 29, 2014

DIAMOND ADONDOKEWA NA ZALI JINGINE

 DIAMOND ADONDOKEWA NA ZALI JINGINE: TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli ...

Friday, October 24, 2014

WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA

 WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA: KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo...

BAADA YA KUKUTWA NA SARE ZA JESHI DIAMOND KUFUNGWA...

 BAADA YA KUKUTWA NA SARE ZA JESHI DIAMOND KUFUNGWA...: Na Musa Mateja Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika k...

Tuesday, October 21, 2014

WAUMINI WA KANISA LA ANGLIKANA NYAMAGANA WALETA VU...

 WAUMINI WA KANISA LA ANGLIKANA NYAMAGANA WALETA VU...: Waumini wa kanisa la Anglikana Wilaya ya Nyamagana Mwanza walisimamisha kwa muda shughuli za ibada kanisani hapo baada ya kutokea vurugu...

Katiba yakoleza kasi urais CCM.

 Katiba yakoleza kasi urais CCM.: Dar es Salaam.  Siku chache baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba Inayopendekezwa, mchuano wa urais ndani ya CCM umeshika kasi baa...

: RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MI...

 RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MI...: RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA

: DK LYATONGA MREMA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA JI...

 DK LYATONGA MREMA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA JI...: Mbunge wa jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha TLP,Dk.Augustine Lyatonga Mrema akihutubia mkutano wake wa hadhara jimboni kwake ja...

UFISADI WA ESCROW UNAUNGWA MKONO NA VIONGOZI WA SE...

UFISADI WA ESCROW UNAUNGWA MKONO NA VIONGOZI WA SE...: Baadhi  ya  viongozi wa  kisiasa nchini  wamesema  sakata la  akaunti  ya  ESCROW  linaungwa  mkono  na baadhi  ya viongozi wa Serikali w...

ANGALIA PICHA MAMA ALIYEPIGWA MSHALE KISA MAHARI.

 ANGALIA PICHA MAMA ALIYEPIGWA MSHALE KISA MAHARI.: Ghati Bunyige akiwa amekaa kwenye benchi akisubiri huduma ya matibabu katika kituo cha afya cha Sirari wilayani Tarime mkoani Mara. UK...

BAADA YA DIAMOND KUZOMEWA JIKWAANI, HII NDIYO KAUL...

 BAADA YA DIAMOND KUZOMEWA JIKWAANI, HII NDIYO KAUL...: October 18 ilikua ni siku maalum ya Wakazi wa Dar es salaam kula bata kwenye msimu wa mafanikio ambao unapita mara moja kila mwaka kweny...

WAZIRI SAMUEL SITTA AREJEA KAZINI KWAKE, APOKELEWA...

WAZIRI SAMUEL SITTA AREJEA KAZINI KWAKE, APOKELEWA...: Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samwel Sitta akiwasili Wizarani Jengo la NSSF Water Front ghorofa ya 5 jijini Dar es sa...

ZIARA YA BAWACHA YAANZA KWA KISHINDO KWA KUTIKISA ...

 ZIARA YA BAWACHA YAANZA KWA KISHINDO KWA KUTIKISA ...: Viongozi wa BAWACHA wakiongozwa na Mhe. Halima Mdee wakipata picha ya pamoja mara tu walipowasili jijini Mwanza. Wananchi mkoani Mwa...

Sunday, October 19, 2014

HILI NDILO TAMKO LA CHADEMA KUHUSU MCHAKATO WA KAT...

 HILI NDILO TAMKO LA CHADEMA KUHUSU MCHAKATO WA KAT...: MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHA MA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA. ...

Thursday, October 16, 2014

MAMA KANUMBA AKANUSHA KUTOKA NA SERENGETI BOI

MAMA KANUMBA AKANUSHA KUTOKA NA SERENGETI BOI: Mayasa Mariwata MAMA  wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amekanusha vilivyo taarifa zilizozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na k...

Wednesday, October 15, 2014

RAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,...

RAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,...: Rais Jakaya Kikwete akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Loveness Ruhaga (kulia) aliyekuwa Mkimbizi kutoka nchini Burundi katika hafla il...

Mbowe: Rais Kikwete ‘hasomeki’

 Mbowe: Rais Kikwete ‘hasomeki’: Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichofanyika Dar es Salaam, jana. Kushoto ...

Sunday, October 5, 2014

GHATI MEMORIAL EDUCATION CENTER ,SASA WAMEKULETEA KITUO BORA CHA ELIMU

Ni kituo bora cha elimu kinachoendelea kuboresha huduma ya elimu na kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu iliyo bora na siyo bora elimu,GHATI MEMORIAL SCHOOL iko mkoani Arusha ikiwa na matawi mawili lakini pia inalo tawi musoma mjini na inaedelea kupanua matawi kuhakikisa inawafikia watanzania wote.

Friday, October 3, 2014

VITA YA WABUNGE MAMBO HADHARANI!

VITA YA WABUNGE MAMBO HADHARANI!: Mbunge wa CCM kupitia kadi ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Mkoa wa Arusha, Catherine Valentine Magige . IMEFICHUKA! Madai ya Mbunge wa Viti ...

Thursday, October 2, 2014

Hii Ndio Sababu ya Clouds FM kushindwa Kumtumia Diamond Kwenye Show zao za Fiesta.

TARIME SAWA NA SOMALIA NDOGO

TARIME SAWA NA SOMALIA NDOGO:-tarime kumezuka vurugu baina ya wanajeshi na askari polisi wa kandaa maalumu.. Milio ya risasi imetawala mjini hapa.. Raia wameungana na wanajeshi ktk vurugu hzi, yaani hapa mjini pamekuwa ni patashika.. Tuombe rehema za mungu, watu wasiumizwe zaidi..