TARIME SAWA NA SOMALIA NDOGO:-tarime kumezuka vurugu baina ya wanajeshi na askari polisi wa kandaa
maalumu.. Milio ya risasi imetawala mjini hapa.. Raia wameungana na
wanajeshi ktk vurugu hzi, yaani hapa mjini pamekuwa ni patashika..
Tuombe rehema za mungu, watu wasiumizwe zaidi..
No comments:
Post a Comment