Sunday, October 5, 2014

GHATI MEMORIAL EDUCATION CENTER ,SASA WAMEKULETEA KITUO BORA CHA ELIMU

Ni kituo bora cha elimu kinachoendelea kuboresha huduma ya elimu na kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu iliyo bora na siyo bora elimu,GHATI MEMORIAL SCHOOL iko mkoani Arusha ikiwa na matawi mawili lakini pia inalo tawi musoma mjini na inaedelea kupanua matawi kuhakikisa inawafikia watanzania wote.

SASA WAMEKULETEA KITUO BORA CHA ELIMU


GHATI MEMORIAL TRAINING
AND EXAMINATION CENTER
TUNATOA   HUDUMA ZIFUATAZO:-
·      PRE-FORM ONE –COURSE
·      QT-PROGRAMM KWA WALE WOTE WANAOPENDA KUJIENDELEZA KUPATA ELIMU YA SECONDARI KWA MIAKA MIWILI (2) TU BADALA YA MIAKA MINNE (4)
·      PROGRAMU YA MAFUNZO YA COMPUTER
·      HUDUMA MAALUMU YA LUGHA YA KINGELEZA KWA WATU WOTE (ENGLISH COURSE)
·      HUDUMA KWA WANAOPENDA KURUDIA MITIHANI (RESTERS) YA KIDATO CHA NNE
NB:FIKA SEHEMU ILIYOKUA EUREKA ENGO KARIBU NA ENGO SHERATION GARDEN
HUDUMA NI KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI NA BAADAYE JIONI (EVENING CLASS).
KUNA WALIMU WAZOEFU NA WENYE  MBINU ZA KISASA ZAIDI WAHI BILA KUCHELEWA

MAWASILIANO:- 0765656665/0757640311

No comments:

Post a Comment