Mkali wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’.
MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amesema sababu
kubwa iliyomfanya azae nje ya ndoa ni maandalizi mazuri aliyojipangia.
Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi wake.
“Nimezaa kwa sababu nilijipanga, kuhusu kuolewa ni majaaliwa awe ni
huyuhuyu niliyezaa naye au mwingine,” alisema Odama huku akigoma kumtaja
baba mtoto.
- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/05/odama-atoa-sababu-ya-kuzaa-nje-ya-ndoa.html#sthash.btzWqDuh.dpuf
No comments:
Post a Comment