EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR
Diamond
Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye
ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za
kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA
LEO TEAMTZ.COM
IMEFANIKIWA
KUPATA EXCLUSIVE PICTURES ZA WAWILI HAO WAKIWA KATIKA MAPOZI YENYE
UTATA KATIKA MOJA YA HOTEL ILIYOPO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment