Sunday, November 9, 2014
KAJALA AWABWATUKIA WANAOMSUMBUA BINTI YAKE
Kajala anasema"uyu ni mtoto wangu mm tokea mdogo adi sasa namlea mwenyewe sijawahi kusaidiwa na mtu yoyote nashangaa mnavyo ongea mambo ya kipumbavu akinishinda kwani ntamleta kwako kukaa si mzigo wangu mwenyewe ninajua ninavyo ishi na mwanangu alio waambia ukimficha watu wasimuone ndio atakuwa mtoto mzuri nani acheni mambo ya kipumbavu kama inakukela kumuoma mwanangu hapa sepa nalipa ada mm sisaidiwi na mtu yoyote kwaiyo.najua ninacho kifanya kama inakuuma sana sepa usipite hapa"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment