MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza
na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa
zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli
si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
“Jamani kupigwa
wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema
kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema
Shilole.
No comments:
Post a Comment